Wilayah Syria: Kisimamo cha Atareb "Kwa Watu Wetu Huko Daraa; Silaha Yenu ni Heshima Yenu Basi Jihadharini na Kuisalimisha!"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Al-Atareb viungani mwa Halfa iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani: "Kwa Watu Wetu wa Daraa; Silaha Yenu ni Heshima Yenu Basi Jihadharini na Kuisalimisha!"