Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kitengo cha Wanawake “Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 104 H ya Kuvunjwa kwa Khilafah!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria kilishiriki kwa kalima hii ya dada mwema Khadija Al-Shaykh, yenye kichwa “Katika mwezi wa Rajab, machozi yanatiririka na matamanio yanapita kasi.”