Hizb ut Tahrir / Denmark: Maandamamo Mbele ya Bunge la Denmark Kutetea Hijab na Kuunusuru Uislamu!
- Imepeperushwa katika Denmark
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya Bunge la Denmark
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya Bunge la Denmark
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa kisimamo mbele ya Bunge la Denmark katika uwanja wa Christiansborg Castle Square cha kulaani mateso ya umwagaji damu ya India dhidi ya Waislamu na unafiki wa serikali ya Denmark.
Hizb ut Tahrir / Denmark yaandaa kongamano kwa anwani "Udhibiti wa Kijamii na Jamii Sambamba?!"
Imepita zaidi ya miaka tisa tangu serikali ya Pakistan ilipomteka nyara Mhandisi Naveed Butt Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, na tangu alipotekwa nyara hajulikani aliko!
Chini ya mazingira ya kambi kwenye Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut- Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya ubalozi wa Misri jijini Copenhagen kwa anwani:
Denmark: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Hizb ut Tahrir / Denmark ilifanya Kongamano la kila mwaka kwa mwaka huu 1442 H - 2020 M
Denmark: Kisimamo Mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa kwa Anwani "Mtume Wetu Ndio Kiigizo Chetu"
Denmark: Pongezi kwa ujio wa Mwezi wa Ramadhan Ulio Barikiwa 1441 H