- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Denmark:
Kisimamo jijini Copenhagen Kusherehekea Kuanguka kwa Utawala wa Assad!
Kalima ya Ustadh Mundhir Abdullah wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Denmark jijini Copenhagen kusherehekea kuanguka kwa utawala wa Assad wa kikafiri wa Baathi, ambao ulikwamia kwenye kifua cha Umma kwa zaidi ya miaka 50 ambapo ulipitia mateso ya kutisha. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, kwa kuuondosha kwa uwezo wake,tukimuomba Yeye (swt) nusra na tamkini yake na kusimama tena kwa utawala wake ardhini, Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Jumapili, 06 Jumada al-Akhirah 1446 H sawia na 08 Disemba 2024 M
Kwa maelezo Zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark: