Jumapili, 10 Dhu al-Hijjah 1445 | 2024/06/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir

Hizb ut Tahrir ni chama cha kisiasa ambacho mfumo wake ni Uislamu, kwa hiyo siasa ndiyo kazi yake na Uislamu ndiyo mfumo wake. Kinafanyakazi ndani ya Umma na pamoja nao, ili uweze kuubeba Uislamu kama kadhia yake na kuuongoza katika kurudisha Khilafah na hukmu za Mwenyezi Mungu (swt) alizoziteremsha. Hizb ut Tahrir ni kundi la kisiasa na sio la kiroho. Wala sio kundi la kiusomi, kielimu au msaada. Fikra ya Kiislamu ndiyo roho ya mwili wake, msingi wake na siri za maisha yake.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatatu, 23 Disemba 2019 16:00

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu