Mabadiliko Yanayohitajiwa na Pakistan ni Siasa Mpya na Dola Mpya kwa Msingi wa Wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt); Khilafah kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika miaka michache iliyopita mateso ya Waislamu wa Pakistan yameongezeka mara kwa mara, kutokana na matatizo ya kiuchumi. Zaidi ya hayo, kipindi hicho hicho kimeshuhudia kuongezeka kwa machafuko ya kisiasa na ukosefu wa utulivu, na kushindwa kwa utawala nchini Pakistan.