Kwa Wote Waliojadili, Kutia saini, Kunyamaza, na Kutoa Baraka Nyinyi na Kuchora kwenu Mipaka na Mayahudi muko chini ya Miguu ya Watu wa Lebanon na Umma wa Kiislamu
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya makubaliano ya kuchora mipaka na Mayahudi, wavamizi wa Palestina, ilikuwa ni habari tu na uchambuzi uliosambazwa na wanasiasa, na baada ya kuwa soko la maneno yaliyochakaa, kiburi, uzalendo na utaifa,