Hizb ut Tahrir / Amerika: Kuufuatilia Mgogoro wa Gaza “Mtazamo wa Kitaalamu wa Mgogoro Huu”
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Amerika iliwasilisha amali hii ya mtandaoni. Amali hii inachunguza kwa kina mazingira tata ya kijiografia ya hali ya Gaza na katika kanda yote. Wageni wetu ni wataalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati na ya Kiislamu.