Jumatatu, 16 Muharram 1446 | 2024/07/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Maandamano na Uwasilishaji Waraka wa Ukumbusho kwa Jeshi la Malaysia Kuinusuru Ardhi Iliyobarikiwa!!

Hizb ut Tahrir / Malaysia aliandaa maandamano na kuwasilisha waraka wa ukumbusho kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwenda kwa jeshi la Malaysia ukiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake, kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Malaysia: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah

Sambamba na Kumbukumbu ya Kuanguka kwa Khilafah katika mwezi mzima wa Rajab mwaka huu, 1444 Hijiria, Hizb ut Tahrir/Malaysia iliandaa mfululizo wa Semina Mseto zinazosisitiza juu ya uhusiano wa kihistoria kati ya Khilafah na Ulimwengu wa Kimalay, na ufaradhi wa Waislamu kuisimamisha tena.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) Ripoti Maalum juu ya Maandamano na Kukabidhi Risala kwa Ubalozi wa Uswidi na Uholanzi

Kufuatia matukio mawili tofauti yaliyohusisha kitendo cha kinyama na cha uoga cha kutusi kupitia kuchoma moto nakala ya Quran, Hizb ut Tahrir/Malaysia (HTM) ilifanya maandamano ya amani na kuwasilisha risala za maandamano kwa Balozi za Uswidi na Uholanzi jijini Kuala Lumpur.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Kongamano la Rajab la Khilafah la Mtandaoni 1443 H Islam Kaffah Unaweza Kupatikana Chini ya Khilafah Pekee

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu