Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Enyi Jeshi la Algeria: Gaza inahitaji Misafara na Vifaru, sio Ujenzi wa Hospitali!”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Matembezi ya 46 mfululizo yalifanyika tangu kuanza kwa Vita vya Kimbunga cha Al-Aqsa, yakianzia mbele ya Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis, hadi barabara ya Al-Thawra, ambayo yaliitishwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia kwa watu wa Al-Zaytouna kuwanusurur watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo mateka, na kichwa chake kilikuwa “Enyi Jeshi la Algeria: Gaza inahitaji Misafara na Vifaru, sio Ujenzi wa Hospitali!”