Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi Mmoja wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir
- Imepeperushwa katika Kyrgyzstan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Kyrgyzstan ina huzuni kubwa kwa watu wa Kyrgyzstan kwa kufikwa na mtihani mkubwa wa kifo cha Ustadh wetu Osanbay, ambaye aliregea kwenye rehema za Mwenyezi Mungu Mtukufu usiku wa kuamkia Agosti 11, siku ya Ijumaa iliyobarikiwa.