Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Kitengo cha Wanawake “Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa Khilafah!”
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa ujio wa kumbukumbu ya miaka 104 ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na makhaini wa Kiarabu na Kituruki iliyoasisiwa na Bwana wa Mitume Muhammad (saw) na maswahaba zake watukufu na waliobarikiwa, Mwenyezi Mungu awawie radhi, na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram katika mwaka wa 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika The Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kinawasilisha mkusanyiko wa kalima hizo.