Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Msikiti wa Al-Aqsa Unayasubiri Majeshi ya Waislamu ili Kuukomboa!
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe ambao Waislamu wa Al-Qudsi waliuelekeza kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu wakati wa ziara yake ya kufedhehesha katika Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa...