Ijumaa, 17 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Sheikh Abdul Qadeem Zallum Mrithi Bora wa Uongozi wa Hizb

 Sheikh Abdul Qadeem Zallum Mrithi Bora wa Uongozi wa Hizb (rahimahu Allah) Jina lake ni Sheikh Abdul Qadeem Bin Yusuf Bin Yunis Bin Ibrahim Al Sheikh Zallum na alikuwa mwanachuoni maarufu. Alizaliwa katika mji wa Al Khalil (Hebron) mnamo 1342 Hijria sawia na 1924 Miladi. Familia yake ilijulikana kwa kushikamana…
Soma zaidi...

Muasisi wa Hizb ut Tahrir - Sheikh Mwanachuoni Taqiuddin an-Nabahani (rahimahu Allah)

 Muasisi wa Hizb ut Tahrir Sheikh Mwanachuoni Taqiuddin an-Nabahani (rahimahu Allah) Taqiuddin bin Ibrahim bin Mustafa bin Ismail bin Yusuf an-Nabahani (muasisi wa Hizb ut Tahrir) anatoka katika kabila la Bani Nabahan na anatoka kijiji cha Ajzam mji wa Haifa eneo la Kaskazini mwa Palestina. Sheikh an-Nabahani alizaliwa katika kijiji…
Soma zaidi...

Fikra ya Hizb ut Tahrir

Fikra ambayo juu yake imebuniwa Hizb ut Tahrir, inayo wasilishwa katika wanachama wake na ambayo inafanya kazi kuuyeyusha Umma kwayo, ili uichukue kama kadhia yake, ni fikra ya Kiislamu, yaani, ‘Aqeedah ya Kiislamu pamoja na sheria zinazotokamana nayo na fikra zilizo jengwa juu yake.

Soma zaidi...

Tabbani ya Hizb ut Tahrir

Baada ya kusoma, kutafakari na kuchunguza kuhusu hali ya sasa ya Umma huu na kiwango ulichofikia, na hali katika zama za Mtume (saw), na katika zama za Makhalifah wanne walioongoka na katika zama za waliofuata baada yao, na kupitia kuregelea seerah na njia ambayo yeye (saw) alibeba da’wah kutoka wakati alipoanza mpaka alipo simamisha dola Madina.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu