Alhamisi, 20 Safar 1447 | 2025/08/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Denmark:

Kikao mbele ya Ubalozi wa Misri jijini Copenhagen!

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi 22 ya umbile la halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo hadi sasa yamesababisha mauaji ya mashahidi, kujeruhiwa, na kupoteza zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu 210,000, Hizb ut Tahrir/Denmark iliandaa kikao, mbele ya ubalozi wa Misri katika mji mkuu wa Copenhagen cha kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wetu mjini Gaza na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kutoka mto wake hadi bahari yake. Ustadh Abdul Rahman Muhammad, mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Denmark, alitoa kalima kwa waliohudhuria.

Ijumaa, 14 Safar al-Khair 1447 H, sawia na 8 Agosti 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo Zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Denmark

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu