Jumanne, 03 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Denmark:

Kongamano “Palestina Yalilia Ukombozi!”

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu ya (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi  ambalo liliendelea na mashambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na upigaji mabomu wa kuendelea wa Ukanda wa Gaza kwa miaka 17, na kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yanafanywa na umbile hili nyakuzi dhidi ya Waislamu waliotelekezwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 72 hadi sasa, wengi wao wakiwa wanawake na watoto. Hizb ut-Tahrir/Denmark inaandaa kongamano lenye kichwa:

"Palestina Yalilia Ukombozi!"

Kuyataka majeshi ya Waislamu yavunje minyororo ambayo watawala wa Ruwaibidhah wamewafunga nayo katika kambi zao, na kuhama mara moja kuwakanyaga watawala wasaliti na kuwanusuru mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), na hivyo kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanaokalia kwa mabavu.

Jumamosi, 17 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 30 Disemba 2023 M

- Video ya Ualishi wa Kongamano -

Tarehe na Wakati: 

Mød op lørdag d.30 December 2023

kl 13-16

Anwani: 

Shiny Star Selskabskslokaler 

Gammel Køge Landevej 117 valby 2600

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#Aqsa_calls_armies

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo Zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Denmark

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu