Jarida la Mukhtarat - Toleo 56
- Imepeperushwa katika Mukhtarat
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 56 Ramadhani 1443 H - April 2021 M
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 56 Ramadhani 1443 H - April 2021 M
Mnamo tarehe 15 Ramadhan 1443 H, katika Ukumbi wa Jiji la Dosa, Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan ilifanya iftar ya Ramadhan ya kila mwaka, iliyohudhuriwa na mkusanyiko mkubwa wa wanasiasa, wanahabari, wanazuoni,
Vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine vinaonekana kuigawa Afrika juu ya kuunga mkono upande gani na kwa nini? Viongozi wengi wa Afrika wameamua kutofungamana na upande wowote huku wachache baadhi yao wakionesha wazi pande zao.
Mnamo Mei 11, 2022 M, itakuwa imepita miaka kumi tangu mbebaji mradi wa Khilafah, Mhandisi Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan,