Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 388
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 388
Vichwa Vikuu vya Toleo 388
Katika muendelezo wa amali za umma zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan, ili kuuamsha Umma wa Kiislamu na kuimarisha azma yake ya kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida upya,
Kwa mwaliko wa Hizb ut Tahrir/Indonesia Waislamu walishiriki katika miji mingi kote Indonesia kama vile; Jakarta, Surabaya, Medan, Bandung, Kendari, Makassar, na mengineo wakiwa katika amali za kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mwaka huu wa 1443 H kwa jina (Kukaribisha Ramadhan 1443 H).
Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara ya umbile la Kiyahudi lililouteka nyara Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuuzingira kwake na mashambulizi ya mabomu ya kuendelea kwa muda wa miaka 16 kwenye Ukanda wa Gaza,