Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Kisimamo cha Babika “Ukombozi wa Al-Aqsa Unaanzia kwa Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Khilafah!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Babika viungani mwa Aleppo, kisimamo cha kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa ulio mateka kwa anwani “Ukombozi wa Al-Aqsa Unaanzia kwa Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Khilafah!”