Joyland: Kukanusha Sababu Saba Zilizojadiliwa Zaidi zenye Kupendelea Kuonyeshwa Filamu Hii
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miongoni mwa mabishano mengine mengi, ubishani mpya umeikumba nchi yetu kuhusu filamu ijayo, ya Joyland[1] na marufuku yake inayobishaniwa[2]. Filamu hiyo, kabla ya kutolewa rasmi, tayari imeshinda tuzo 4 kuu, miongoni mwazo tuzo ya 'heshima' ya Tamasha la Filamu la Cannes katika vigawanyo viwili, miongoni mwao ni kigawanyo cha Queer Palm kilichotolewa kwa maudhui husika ya LGBT[3] na tuzo ya jury iliyosifiwa sana[4].