Vifo vya Wahamiaji
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tarehe 25 Novemba 2022 iliadhimisha mwaka mmoja wa kifo cha wahamiaji 31 wengi wao wakiwa Waislamu waliokuwa wakivuka Mkondo wa Kiingereza ndani ya mashua ya mpira.
Vifo hivyo vimetajwa kuwa janga baya zaidi la baharini kuwahi kutokea kwa miaka 30. Dhurufu za matukio hayo ya kutisha zinaogofya zaidi.