Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kufichua Njia Zote Zisizo Sahihi na Zenye Kutuweka Mbali na Suala la Palestina

Suala la Palestina ni jaribio. Kama wewe upo wazi kuhusu kile ambacho Mwenyezi Mungu (swt) ametuagiza na Mtume Wake (saw) amekifanya kivitendo katika hali kama hiyo, basi unaweza kuchuja vishawishi vyote bandia, vya wenye kulipwa, na waoga ambao hawalinganii katika njia ya sawa kutatua suala hili.

Soma zaidi...

Jinsi ya Kujadili Mzozo wa Palestina Unaoendelea pamoja na Watoto Wako (na kila mtu mwengine)

1. Wazazi wanapaswa kuanzisha majadiliano yote kwa kutumia taswira ifuatayo ili kuwafanya watoto wao waelewe mzozo huu: Unaishi kwa amani ndani ya nyumba yako na ghafla siku moja, miaka 75 iliyopita, watu wengine wanaingia kwa nguvu, wanachukua nusu ya nyumba yako, kuwafukuza Nusu ya familia yako, kuwaweka nusu waliobakia chini kizuizi cha kinyumbani katika nusu iliyobaki ya nyumba.

Soma zaidi...

Ummah Unakua Kiidadi, na Haja ya Khilafah Kusimamisha Dini ni Kadhia Nyeti

Nimegundua ongezeko la video fupi zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii, za watu wakitamka Shahada na kuwa Waislamu. Hilo lilinivutia. Liliniweka kwenye safari ya utafiti ili kujua ni watu wangapi, haswa katika ulimwengu wa Magharibi, wanaokuwa Waislamu. Ni vigumu kukusanya takwimu halisi, lakini Ramadhan 2023 ilishuhudia kusilimu kwa watu mashuhuri.

Soma zaidi...

Sa’ad bin Muadh, Mkuu wa Ansar (ra)… Ni nani Sa’ad wa Ummah Huu hivi leo?!

Kuwataja watu wakubwa wa historia ya Uislamu, sio kama kutaja habari za kale zozote za “mashujaa” wa kihistoria. Tafauti baina ya historia ya Waislamu watukufu na “mashujaa” wa historia ni kuwa usomaji wa habari za Waislamu watukufu ni kwa sababu ya kufuata mifano yao. Tunafuata nyayo zao, na kuchukua mafunzo kutoka kwenye matendo yao ya kishujaa.

Soma zaidi...

Ni Bishara njema ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ aliyesema: “Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume.” Ambayo kwayo tunaweka tegemeo letu

Mnamo tarehe 7 Mei, Hay’at Tahrir al-Sham (HTS), alivamia nyumba za wanachama wa Hizb ut Tahrir na kuwaweka kizuizini wanachama wake 18. Uhalifu wao ukiwa ni, mara kwa mara kuufahamisha Ummah kwa mitazamo sahihi ya Kiislamu wakati unapoamiliana na masuala mengi ndani ya Syria.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu