Kifo cha Dolari
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kumekuwa na mazungumzo mengi juu ya kifo cha dolari na katika muongo mmoja uliopita, idadi kadhaa ya wenye kushindana imeibuka kudai nafasi ya ubwana wa dolari.
Kumekuwa na mazungumzo mengi juu ya kifo cha dolari na katika muongo mmoja uliopita, idadi kadhaa ya wenye kushindana imeibuka kudai nafasi ya ubwana wa dolari.
Japan itasambaza gesi yake asili myayuko kwa Ulaya: wawakilishi wa Muungano wa Ulaya (EU) na Amerika wameielezea Tokyo juu ya ombi hilo.
Ushauri (Shurah) na kuhisabu zote ni amri za Mwenyezi Mungu (swt), na miongoni mwa kanuni za hukmu ya Kiislamu, na ni wajibu kwa Khalifah. Kuaminiana kati ya mtawala na raia wake kunahakikishwa kupitia mtawala kuchukua ushauri na mtawala kuhesabiwa na raia wake.
Gazeti la Express Tribune nchini Pakistan limeripoti mnamo tarehe 30 Januari 2022, “Upandikizaji wa mwanzo uliobadilishwa kigenetiki wa moyo wa nguruwe kwa mgonjwa anayeugua mahututi umechemsha mjadala mkali miongoni mwa Waislamu kote duniani.
Wakati Ummah ukielekea katika ufahamu wake jumla wa kutoshindikana kurejea kwa Khilafah, tunaona baadhi ya watu wakimtafuta mkombozi kutoka kwa pote la viongozi walio mamlakani, ambaye anafaa zaidi kwa jukumu hili, na wanapendelea Raisi wa Uturuki Erdogan kuwa ndiye mwenye kufaa kwa jukumu hili.
Kwa muda wa miaka kumi, hakuna anayejua Idara ya Usalama ya Pakistan (ISI) imemuweka wapi Ndugu Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir Wilaya ya Pakistan, au wapi ameshikiliwa.
Hivi karibuni Bunge la Amerika limeidhinisha bajeti ya ulinzi ya dolari bilioni 777.7, ikiwa ni ongezeko la asilimia tano kutoka mwaka jana.
Katika kipindi cha “mahojiano”, mnamo Disemba 12 na 19, 2021, Al-Jazeera ilipeperusha mahojiano na Dkt. Wael Hallaq yakiwa katika mfululizo wa matukio mawili kuhusu kitabu chake, Dola Isiyomkinika: Uislamu, Siasa, na Mashaka ya Kimaadili ya Kisasa.
BBC iliripoti mnamo tarehe 2 Disemba kwamba miundombinu inayoporomoka ya Afghanistan imesababisha kukaribia kutoweka kwa mfumo wa huduma za afya na ustawi wa jamii.
Hadi katikati mwa karne ya kumi na nane, Uislamu ulikuwa kama mti mzuri wenye matawi imara ya kijani yaliyostawi ambayo huzaa matunda muda wote wa mwaka.