Kusitisha Majukumu ya Ndugu Alaa Abu Saleh katika Afisi ya Habari
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Natangaza kusitisha kazi yangu katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina, ili kutoa nafasi kwa nguvu changa zinazoingiza uchangamfu na mng'aro, na kuiingiza kazi hii damu mpya na mbinu mbalimbali.