Uingereza: Visimamo Viwili vya Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa!
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Chini ya mazingira ya kambi juu ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uingereza iliandaa visimamo viwili jijini London na Birmingham vya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).