Alhamisi, 16 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Tunisia: Kisimamo cha Hali ya Juu Mbele ya Ubalozi wa Pakistan

Jumatatu asubuhi, Juni 21, 2021 ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia ulizuru ubalozi wa Pakistan jijini Tunis ambapo ulimkabidhi kaimu wa shughuli za ubalozi huo nakala mbili za taarifa kwa vyombo vya habari ya Kiarabu na Kiurdu iliyotolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inayoihutubia serikali ya Pakistan chini ya anwani,

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 20/06/2021

Mwendelezo wa amali za umma zinazofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi ili kujenga rai jumla kuhusu vipengee vya Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na hali mbaya na hali ngumu ya maisha ambayo watu wanateseka kwayo kutokana na kufuata sera za wakoloni makafiri na kutiishwa kwa masuluhisho ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa.

Soma zaidi...

Wilayah ya Lebanon: Kisimamo Mbele ya Ubalozi wa Misri "Al-Aqsa Yalilia Wanajeshi!"

Chini ya mazingira ya kupiga kambi kwa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na kuzingirwa kwake na taharuki ambayo imekuwa ikiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut -Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kisimamo mbele ya ubalozi wa Misri jijini Beirut kwa anwani: "Al-Aqsa Yalilia Majeshi!"

Soma zaidi...

Uingereza: Visimamo Viwili vya Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa!

Chini ya mazingira ya kambi juu ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uingereza iliandaa visimamo viwili jijini London na Birmingham vya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu