Jumatano, 02 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Kampeni “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”


Vyombo vya usalama nchini Uzbekistan vimewakamata tena wanachama 23 wa Hizb ut Tahrir na kuendelea na taratibu za kesi zao Mei 9 mwaka huu kwa mashtaka yale yale waliyoshtakiwa wakati wa enzi ya dhalimu aliyefariki Karimov, ambayo kwayo walitumia karibu miaka 20 jela na mateso tangu 1999 - 2000 M. Licha ya madai yote yaliyotolewa na Mirziyev miaka iliyopita, ambapo alidai kuwa anapinga mateso na unyanyasaji dhidi ya wafungwa, na kwamba yuko kwenye njia ya kuunganisha uhuru wa fikra na itikadi na kupambana na ukamataji kiholela, tabia ya hivi karibuni ya serikali ya Uzbekistan chini ya uongozi wake inaonyesha kwamba inafuata nyayo za Karimov aliyekufa katika kuwa na uadui na Uislamu na wale wote wanaoulingania, na kuwatesa mashababu wa Hizb ut Tahrir kwa kutumia mbinu za kidhalimu na za kikatili ambazo mtangulizi wake wa uhalifu Karimov ilizitumika hapo awali.

Mashababu walikamatwa kiholela na kwa njia za kinyama na za kikatili kwa haki zao na kuwalazimisha kuungama tuhuma walizobambikiziwa, ambapo waliwaweka mifuko kwenye vichwa vyao na kuweka shinikizo kali juu yao, na walilazimishwa kutia saini maungamo hayo yaliyotayarishwa mapema chini ya tishio la kuletwa mke wa mmoja wao afisini na kumbaka. Na tishio jengine lilikuwa kumleta mtoto wa shababu mwengine anayesoma nje ya nchi, hadi Uzbekistan kupitia ubalozi, na kumleta mtoto wa shababu mwengine katika Afisi ya Mambo ya Ndani ili kumlazimisha kusaini hati ya kukiri, na kumtesa shababu mwengine kwa shoti ya umeme.  Pia mashababu wapya 16  walikamatwa katika majimbo ya Tashkent, Andijan, Hawqan, Karshi na Samarkand, na kufikishwa Tashkent na kuchunguzwa, kwa tuhuma zinazohusiana na kufanya vurugu na ugaidi!

Tuhuma za ugaidi na kutekeleza unyanyasaji dhidi ya mashahabu wa Hizb ut Tahrir ni wazi kuwa ni uzushi na uongo. Hizb ut Tahrir na mashababu wake hawafanyi fujo wala ugaidi, na wala hizb haijawahi kufanya hivyo tangu kuasisiwa kwake mwaka 1953 M. Haifanyi hivi sio kwa sababu ya kuogopa kwake tawala hizi au kujaribu kuridhiana na tawala dhalimu, bali kwa sababu inamwabudu Mwenyezi Mungu kwa njia yake ili kuregesha maisha kamili ya Kiislamu, ambayo ni njia ya kifikra na kisiasa ambayo iliifuatwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Kwa hiyo, tawala zote za ukandamizaji na za kipolisi katika nchi za Kiislamu na hata katika nchi za Magharibi hazikuweza kuthibitisha shtaka la ugaidi au vurugu dhidi ya Hizb ut Tahrir na mashababu wake, licha ya majaribio yao ya mara kwa mara. Lakini ni chuki inayofurika kutoka katika nyoyo za watawala wahalifu, ambayo inawasukuma kudanganya macho na masikio yao kutokana na kutaka kulipiza kisasi dhidi wabebaji wa mradi unaokuja wa Kiislamu, mradi wa Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume. Watawala wa Waislamu, chini ya uongozi wa mabwana zao, viongozi wa uhalifu na ukoloni nchini Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa na Ujerumani, wanaupiga vita mradi wa Uislamu na kuzikanyaga sheria na kanuni zao wanazozipigia debe na kuzinadi kwa ulimwengu (uhuru, demokrasia, haki za binadamu) linapokuja suala la ubebaji dawah miongoni mwa mashababu wa Hizb ut Tahrir.

Kuregea kwa Mirziyev katika mkabala wa ukandamizaji, ukamataji, na utesaji katika nyayo za Karimov aliyekufa kunaonyesha kwamba jambo hilo ni utekelezaji wa matamanio na sera za viongozi wa kikoloni nchini Urusi na Marekani, na kwamba watawala wetu, kama kawaida yao, hawamiliki maamuzi yao na si chochote ila wafuasi wa vibaraka wa ukoloni.

Sisi katika Hizb ut Tahrir tunauonya utawala wa Mirziyev dhidi ya kuregea kwenye sera ya ukandamizaji na ukatili ambayo utawala wa Karimov uliitumia dhidi ya Uislamu na wabebaji dawah yake. Hii ndiyo njia ya wahalifu na haitawanufaisha, bali itazidisha hasira za Umma juu yake na kujaalia kuangamia kwake, Umma wa Kiislamu sasa unatazamia siku hiyo utakapokombolewa kutokana na ukoloni na kuregea katika sheria ya Mola wake Mlezi, kama katiba, sheria na maisha, na Umma leo uko karibu zaidi kuliko wakati mwingine wowote kufikia lengo na matumaini yake. Hivyo basi, Mirziyev lazima awaachilie huru mashababu wetu mara moja na bila kuchelewa, aache kuwatesa wale wanaobeba ujumbe na kuwa na uadui kwa mradi wa Uislamu, na ajifunze kutoka kwa wale waliokuja kabla yake, hakika mwisho mwema ni kwa wachaMungu hata kama mila yote ya ukafiri itakusanyika pamoja, na Mwenyezi Mungu atainusuru dini yake, hata kama ni baada ya muda kidogo, Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema

﴿كَتَبَ اللهُ لَأَغْلِبَنَّ أَنَا وَرُسُلِي إِنَّ اللهَ قَوِيٌّ عَزِيزٌ﴾

Mwenyezi Mungu ameandika: Hapana shaka Mimi na Mtume wangu tutashinda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda.” [Mujadala: 21]

Ijumaa, 29 Dhu al-Hijjah 1445 H sawia na 5 Julai 2024 M

DVD “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa lugha sita iliyopewa anwani:

DVD “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!” 2024 M

Imetayarishwa na Idara ya Machapisho na Makavazi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.

Ili Kupakua DVD

Bonyeza Hapa 

Kufuatilia Kampeni kwa Lugha Nyenginezo

   

 
 
   

Taarifa kwa vyombo vya habari Iliyotolewa na

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

"Utawala wa Mirziyoyev nchini Uzbekistan Unafuata Nyayo za Karimov Aliyekufa, katika Kuwatesa Mashababu wa Hizb ut Tahrir na Kukabiliana na Uislamu"

Ijumaa, 29 Dhu al-Hijjah 1445 H sawia na 5 Julai 2024 M

Ili Kusoma Bonyeza Hapa

Kalima ya Mhandisi Salah Eddine Adada

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Ambayo kwayo alitangaza uzinduzi wa Kampeni ya Kiulimwengu ya kuwanusuru Ndugu zetu Waislamu Wanyonge nchini Uzbekistan

Kalima ya Dada Rana Mustafa

Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ya kuwanusuru Ndugu zetu Waislamu Wanyonge nchini Uzbekistan

Kalima ya Dada Rana Mustafa kwa Lugha ya Kiuzbeki

Kalima ya Dada Zahra Malik

Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ya kuwanusuru Ndugu zetu Waislamu Wanyonge nchini Uzbekistan

Jumapili, 22 Muharram 1446 H - 28 Julai 2024 M

Hasbakum Allah, enyi Watu wetu nchini Uzbekistan

Ujumbe kutoka kwa Mwadhama Sheikh Ahmad al Qasas
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Lebanon
Kuwanusuru ndugu zetu Waislamu wanaodhulumiwa nchini Uzbekistan
Imetolewa na Al-Waqiyah TV

Jumatatu, 16 Muharram 1446 H - 22 Julai 2024 M

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

itaendesha tufani ya Twitter ambayo sasa inajulikana kama X chini ya kichwa:

"Enyi Ummah, Kilio kutoka kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!"

Kuwanusuru wabebaji Dawah wanaodhulumiwa na utawala dhalimu wa Uzbekistan kwa sababu tu wanaswali mchana na usiku ili kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt), na bishara njema ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kwa kuregesha tena maisha kamili ya Kiislamu kwa kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Basi kuweni pamoja nasi leo ili mushiriki katika kupata thawabu na Mwenyezi Mungu Mtukufu atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Jumamosi, 21 Muharram 1446 H - 27 Julai 2024 M

Bonyeza Hapa ili Kupata Twiti zilizopendekezwa Kutumiwa katika Mtandao wa X

 

Video

Hizb ut Tahrir / Uzbekistan:

Ujumbe kutoka kwa Dada wa Uzbekistan wa Kuunga Mkono Kampeni “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”

Alhamisi, 19 Muharram Tukufu 1446 H sawia na 25 Julai 2024 M

[Al-Waqiyah TV]

Video ya Mukhtasari wa Maendeleo ya Kampeni ya Kilimwengu

“Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”

Imetolewa na Chaneli ya Al-Waqiyah

Alhamisi, 19 Muharram 1446 H sawia na 25 Julai 2024 M

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

Face Twitter Insta

#PleaFromUzbekistan

Face Twitter Insta
#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД Face Twitter Insta

Barua ya Hizb ut Tahrir / Uzbekistan

kwa Rais wa Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev

Ijumaa, 29 Dhu al-Hijjah 1445 H sawia na 05 Julai 2024

Ili Kusoma Bonyeza Hapa

Kalima ya Hizb ut Tahrir / Uzbekistan

“Kwa nini Wafungwa wa Kisiasa Wanakamatwa Tena!?”

Ijumaa, 29 Dhu al-Hijjah 1445 H sawia na 05 Julai 2024

Ili Kusoma Bonyeza Hapa

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Afisi Kuu ya Habari

Utawala wa Mirziyoyev nchini Uzbekistan Unafuata Nyayo za Karimov Aliyekufa, katika Kuwatesa Mashababu wa Hizb ut Tahrir na Kukabiliana na Uislamu

29 Dhu al-Hijjah 1445 H - 05 Julai 2024 M

 
Uzbekistan

Serikali ya Uzbekistan Inataka Kuwafunga Wafungwa 39 Wa Zamani wa Kisiasa kwa Miaka Mingi Zaidi

27 Dhu al-Hijjah 1445 H - 03 Julai 2024 M

Uzbekistan

Je, Ziara ya Putin nchini Uzbekistan Yamaanisha Nini?

25 Dhu al-Qa'adah 1445 H - 02 Juni 2024 M

Uzbekistan

Tanzia ya Shahidi Mwengine katika Magereza ya Uzbekistan

23 Dhu al-Qa'adah 1445 H - 31 Mei 2024 M

Uzbekistan

“Matembezi” Jumla ya Magharibi hadi Asia ya Kati: zamu ya Uingereza

27 Shawwal 1445 H - 06 Mei 2024 M

Uzbekistan

Wajibu wa Serikali ya Uzbekistan kwa Palestina, Gaza na Al-Aqsa

23 Rajab 1445 H - 04 Februari 2024 M

Uzbekistan

Kwa nini Vituo Rasmi vya Habari vya Uzbekistan Vinaendelea Kukaa Kimya?!

24 Jumada II 1445 H - 06 Januari 2024 M

Uzbekistan

Tanzia ya Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Gereza la China

11 Jumada II 1445 H - 28 Disemba 2023 M

Uzbekistan

Twamuomboleza Shahidi Mpya ndani ya Magereza ya Uzbekistan

19 Jumada I 1445 H - 03 Disemba 2023 M

Uzbekistan

Kushiriki kwa Serikali ya Uzbekistan katika Mkutano wa nchi za Kiarabu na Kiislamu uliofanyika jijini Riyadh

3 Jumada I 1445 H - 17 Novemba 2023 M

Uzbekistan

Kubadilisha Serikali kwa Takwimu Mpya za Uongozi si Lolote zaidi ya Kutia Viraka Mfumo!

19 Muharram 1445 H - 06 Agosti 2023 M 

Uzbekistan

Baada ya Kura ya Maoni, ni zamu ya Uchaguzi wa Rais

23 Shawwal 1444 H - 13 Mei 2023 M

Uzbekistan

Hizb ut Tahrir / Uzbekistan Yahitimisha Kampeni “Hapana kwa Katiba iliyo na Mapungufu ya Mwanadamu! Ndiyo, kwa Katiba inayotokana na Qur’an na Sunnah”

13 Shawwal 1444 H - 03 Mei 2023 M

Uzbekistan

Ziara ya Blinken nchini Uzbekistan

11 Sha'aban 1444 H - 03 Machi 2023 M

Uzbekistan

Mtu Mwengine katika Mashababu wa Hizb ut Tahrir Ajiunga na Msafara wa Mashahidi!

27 Jumada II 1444 H - 20 Januari 2023 M

Uzbekistan

Watoto 19 walikuwa Wahasiriwa Waliofuata wa Utawala wa Kinyama

9 Jumada II 1444 H - 02 Januari 2023 M

Uzbekistan

Kiini cha Mgogoro wa Nishati kiko Wapi?

18 Jumada I 1444 H - 12 Disemba 2022 M

 

Makala, Habari na Maoni

Habari na Maoni

Uzbekistan: Faini za Mamilioni ya Soum kwa Kuwafunza Watoto Uislamu

12 Muharram 1446 H - 18 Julai 2024 M

Habari na Maoni

Uzbekistan na Hizb ut Tahrir

08 Muharram 1446 H - 14 Julai 2024 M

Habari na Maoni

 Dhalimu wa Uzbekistan Ajaribu Kukandamiza Madhihirisho ya Uislamu katika Jamii

9 Rabi' I 1445 H - 24 Septemba 2023 M

 
Habari na Maoni 

Vladimir Putin Amechukua Mahali pa Karimov

11 Safar 1445 H - 27 Agosti 2023 M

 
Habari na Maoni 

Kura ya Maoni nchini Uzbekistan: Operesheni “Raisi wa Milele”

15 Sha'aban 1444 H - 05 Mei 2023 M

 
 Makala / Khilafah

 Kuihusu Hizb ut Tahrir: Kazi Yetu na Ruwaza Yetu

11 Sha'aban 1443 H - 14 Machi 2022 M

 

 

Amali za Hizb ut Tahrir kote Ulimwenguni

Kenya

Hizb ut Tahrir / Kenya:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Jumamosi, 21 Muharram 1446 H - 27 Julai 2024 M

Ukraine

Hizb ut Tahrir / Ukraine:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ijumaa, 17 Muharram 1446 H - 23 Julai 2024 M

Palestina

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H - 19 Julai 2024 M

Ubelgiji

Hizb ut Tahrir / Ubelgiji:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H - 19 Julai 2024 M

Austria

Hizb ut Tahrir / Austria:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Jumatano, 11 Muharram 1446 H - 17 Julai 2024 M

 Wilayah

Tunisia

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Jumatatu, 09 Muharram 1446 H sawia na 15 Julai 2024 M

 Wilayah

Sudan

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ijumaa, 06 Muharram 1446 H - 12 Julai 2024 M

 

Uswidi

Hizb ut Tahrir / Ubelgiji:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ijumaa, 06 Muharram 1446 H - 12 Julai 2024 M

 

Angazo la Vyombo vya Habari

 Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 503

04 Muharram 1446 H - 10 Julai 2024 M

 

 

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu