Jumamosi, 14 Muharram 1446 | 2024/07/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Kushiriki kwa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa kichwa,

“Enyi Ummah; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”

ni kwa ajili ya kuwanusuru ndugu na dada zetu wafungwa wa kisiasa katika magereza maovu ya Uzbekistan si kwa jengine isipokuwa kwa kusema kwao, Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu.

Ijumaa, 06 Muharram 1446 H sawia na 12 Julai 2024 M

Ujumbe na Kalima za Kuwanusuru Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan

Ujumbe kutoka Sudan kwenda kwa Serikali ya Uzbekistan

na Wabebaji Ulinganizi miongoni mwa Mashababu wa Hizb ut Tahrir

Umewasilishwa na Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Jumanne, 03 Muharram 1446 H - 09 Julai 2024 M

Enyi Serikali ya Uzbekistan, Khilafah Inakuja pasi na Budi!

Imewasilishwa na Wakili Ustadh Ahmad Abkar

Mwanachama wa Baraza la Wilayah katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Jumanne, 03 Muharram 1446 H - 09 Julai 2024 M

Madhalimu wa Sasa wa Uzbekistan Wanafuata Nyayo za Karimov

Imewasilishwa na Ustadh Muhammad Jami’ (Abu Ayman)

Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Jumanne, 03 Muharram 1446 H - 09 Julai 2024 M

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

#PleaFromUzbekistan

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

Kwa Maelezo Zaidi, Tafadhali Zuru Tovuti za Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Youtube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Ukurasa wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir katika Vyuo Vikuu vya Sudan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu