Makubaliano ya Uturuki na Urusi Juu ya Mkataba wa S-400 na Athari zake
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Makubaliano ya Uturuki pamoja na Urusi juu ya mkataba wa S-400 yalianza tangu Septemba 2017. Wakati huo, Amerika haikupinga kwa nguvu makubaliano hayo, lakini msimamo wake sana ulikuwa ni kama wa kutoridhika.