Enyi Majeshi! Chagueni kati ya Watawala hawa ambao ni Watiifu…
Jumapili, 17 Sha'aban 1446 - 16 Februari 2025
Mnamo Jumanne 4 Februari 2025, akiwa ameketi ubavuni mwa muuaji wa Gaza, Benjamin Netanyahu, Rais Trump wa Marekani alitangaza, "Marekani itauchukua Ukanda wa Gaza, na tutafanya kazi nayo pia." Tamko la kiburi la Trump kuhusu Gaza ni kofi kwenye uso wa watawala wa Waislamu, ambao wametekeleza kwa utiifu amri ya Marekani, na kuzuia vikosi vya majeshi ya Waislamu kupigana na umbile la Kiyahudi, na hivyo kuruhusu mauaji ya Waislamu nchini Palestina. Watawala wa sasa wa Waislamu, kama wale waliotangulia, wanajifunza kwamba Marekani haiwajali wao, au viti vyao vya khiyana. Marekani itaendelea kuwadhalilisha na kuwashusha hadhi mbele ya dunia na watu...
Miaka Miwili Iliyopita Baada ya Tetemeko la Ardhi la Februari…
Mnamo Februari 6, 2023, matetemeko makubwa mawili ya ardhi yenye kipimo cha 7.8 na 7.5,…
Watawala wa India Wanatumia Sheria ya (Kuzuia) Shughuli zisizo halali…
Katika kampeni yake inayoendelea dhidi ya Hizb ut Tahrir, Shirika la Kitaifa la Upelelezi la…
Marufuku ya Kyrgyzstan dhidi ya Niqab ni Jaribio la Kutapatapa…
Kyrgyzstan imekuwa nchi ya hivi punde zaidi katika Asia ya Kati kupiga marufuku Niqab. Hatua…
Enyi Waislamu: Msiikubali Marekani kama Mpatanishi, Kwa Maana sio tu…
Mnamo Januari 15, makubaliano yalifikiwa kusitisha vita dhidi ya Gaza kati ya umbile la Kiyahudi…
Kushutumu kwa Watawala wa Waislamu Mradi wa Kuwahamisha Watu wa…
Usaliti wa watawala wa Waislamu, na majeshi yao, kwa watu wa Gaza, na Palestina yote,…