Ijumaa, 06 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir Katika Kukumbuka Kuanguka kwa Khilafah 1441 H – 2020 M

Katika mwezi mtukufu wa Rajab wa mwaka huu 1441 H sawia na 2020 M na kwa munasaba wa kumbukumbu ya majonzi ya namna wahalifu walivyoivunja Dola ya Kiislamu na kuuondosha utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo 28 mwezi mtukufu wa Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M. Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ya ukumbusho wa 99 Hijria wa Kuanguka kwa Khilafah. Nasi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir tutakuwa na upeperushaji maalumu wa matukio na amali zote na twamuomba Mwenyezi Mungu (swt) kutuharakishia kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume. Hakika, Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya hili. Mwenyezi Mungu (swt) asema,

(وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنْكُمْ وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَيَسْتَخْلِفَنَّهُمْ فِي الْأَرْضِ كَمَا اسْتَخْلَفَ الَّذِينَ مِنْ قَبْلِهِمْ وَلَيُمَكِّنَنَّ لَهُمْ دِينَهُمُ الَّذِي ارْتَضَىٰ لَهُمْ وَلَيُبَدِّلَنَّهُمْ مِنْ بَعْدِ خَوْفِهِمْ أَمْنًا ۚ يَعْبُدُونَنِي لَا يُشْرِكُونَ بِي شَيْئًا ۚ وَمَنْ كَفَرَ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ)

“Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia Dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi, wala wasinishirikishe na chochote. Na watao kufuru baada ya hayo, basi hao ndio wapotovu.” [An-Nur:55]

Ijumaa, 11 Rajab al-Muharram 1441 H sawia na 06 Machi 2020 M

 

Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa,

Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah

Juu ya Tukio la Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Bofya Hapa

 Tangazo Maalumu la  Al-Waqiyah TV

Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa,

Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah

Juu ya Tukio la Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

 28 Rajab 1441 H - 23 Machi 2020 M

LINK:

Al-Waqiyah TV: http://www.alwaqiyah.tv/index.php/channel/15/alwaqiyah-live/#

Tangazo la Moja kwa Moja (Kiingereza) kupitia YouTube: https://youtu.be/CWUhqbuqqLE

Tangazo la Moja kwa Moja (Kiarabu) kupitia YouTube: https://youtu.be/mx2StWin31g

Isome Hotuba kupitia Facebook

Isome Hotuba kupitia Ukurasa wa Afisi Kuu ya Habari

Video ya Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Mohammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Juu ya Tukio la Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Taarifa kwa Vyombo vya Habari ya Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Mohammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Katika Maadhimisho ya Miaka Tisini na Tisa ya Kuvunjwa kwa Khilafah, Isimamisheni Kabla ya Kutimia Miaka 100

BOFYA HAPA


Video ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Juu ya Tukio la Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

       
   
  
 Alama Ishara za Kampeni          
    

 

#TurudisheniKhilafah   tw instagram
#ReturnTheKhilafah    tw  instagram
#أقيموا_الخلافة   tw 

instagram

 #YenidenHilafet    tw  instagram


Al-Waqiyah TV: Mfululizo

Kuwa Imara juu ya Ukweli…Kufuata Njia

Runinga ya Al-Waqiyah ilifanya mahojiano mbali mbali na wazee kutoka kwa Mashabab wa Hizb ut Tahrir kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo walisisitiza kwamba wao wako imara juu ya ukweli, haijalishi uzito wa majanga, na kwamba wako njiani, haijalishi urefu wa barabara, lengo lao liko wazi na njia wanayotumia imekamilika… Wamejifunga na uongozi wa Hizb ut Tahrir wakimuombea Amiri wake, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, kwa ushindi na uthabiti, wakimuomba Mwenyezi Mungu atuharakishie kusimamishwa tena Dola ya Khilafah ya Uongofu ya pili kwa njia ya Utume, ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt) na bishara ya Mtume (saw). Hakika Mwenyezi Mungu ni muweza juu ya hayo. Endelea kufuatilia…

BOFYA HAPA UPATE MFULULIZO

 

Katika Kumbukumbu ya miaka 99 ya Kuvunjwa kwa Khilafah,
Enyi Waislamu, Isimamisheni, ambayo kwayo ni Izza, na kupitia kwayo Tunarudisha Hadhi yetu Miongoni mwa Watu na Mataifa: Jumamosi, 12 Rajab 1441 H - 07 Machi 2020 M

Katika Maadhimisho ya Miaka Tisini na Tisa ya Kuvunjwa kwa Khilafah, Isimamisheni Kabla ya Kutimia Miaka 100: Ijumaa, 11 Rajab 1441 H - 6 Machi 2020 M

 Khilafah Ikavunjwa … kwa hiyo Wanaoabudu Ng’ombe nchini India Wakawashinda nguvu “Ummah Bora Uliotolewa kwa Watu”...

Enyi Majeshi ya Waislamu kwa Nini Hamuchangamki?!:  Alhamisi, 10 Rajab 1441 H - 5 Machi, 2020 M

Ni Miaka Tangu Kuanguka kwa Khilafah... Mpaka Lini Tutaendelea Kubakia kama Mayatima Katika Meza za Mabwana Walafi?!: Jumanne, 8 Rajab 1441 H - 3 Machi 2020M

                                            Chini ya Kisingizio cha Hali za Kibinadamu                                                   Upatanishi Unafanyika huko nchini Syria na Muuaji wa Watoto na Wanawake: Jumatatu, 7 Rajab 1441 H - 2 Machi 2020M

 

Hizb ut Tahrir / Kenya:

Amali katika Tukio la Kumbukumbu ya 99 ya Kuvunjwa kwa Khilafah.:  3 Sha'aban 1441 H - 27 Machi 2020

Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Matukio ya Kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H – 2020 M: Jumatatu 28, Rajab 1441 H - 23 Machi 2020 M

Mafunzo Makubwa Kutoka kwa Abu Ayyub Al-Ansari kwa Waislamu Jumla na Hasa kwa Majeshi ya Waislamu Juu ya Kumbukumbu ya 99!: Jumapili 20 Rajab 1441 H - 15 Machi 2020 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni, “Khilafah Huwakinga Wanawake”: Jumamosi, 12 Rajab 1441 H   -  7 Machi 2020M

Muda wa Khilafah Umewadia: Jumamosi,12 Rajab 1441 H -  07 Machi 2020 M

  Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki: Kongamano la Khilafah, “Kuanzia katika Familia hadi Dola – Ujenzi wa Mujitama wa Kiislamu”: Jumanne, 8 Rajab, 1441 H -  03 Machi, 2020 M  -

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Kongamano la Khilafah: 5 Rajab 1441 H – 29 Februari 2020 M


 


Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 11 Aprili 2020 15:34

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu