Kubadilisha Uovu Mmoja kwa Mwingine: Umoja wa Mataifa Kamwe Hautawalinda Waislamu
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mauwaji ya halaiki ya Srebrenica yalikuwa ni janga la kuogofya katika historia ya wanadamu. Mauwaji hayo ya halaiki yalifanyika katika miji ambayo Baraza la Usalama liliitambua kama maeneo salama, lakini kisha likakataa kuidhinisha vikosi vya kutosha kuyalinda.