Minbar Ummah: "Vikosi vya Wanamapinduzi Huru Vinatuwakilisha."
- Imepeperushwa katika Minbar Ummah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maandamano katika mji wa Armanāz mashambani mwa Idlib yenye jina, "Vikosi vya Wanamapinduzi huru vinatuwakilisha."
Maandamano katika mji wa Armanāz mashambani mwa Idlib yenye jina, "Vikosi vya Wanamapinduzi huru vinatuwakilisha."
Tumekusanyika leo kusema LA kwa mpango wa Trump, LA kwa suluhisho la serikali mbili, LA kwa miradi yote ya kujisalimisha, mazungumzo, na usaliti, na NDIO kwa kishindo cha ndege na tetemeko la ardhi la vifaru, NDIO ... tunataka chuma kishambulie chuma, tunataka askari kama wanajeshi wa Salahudin.
Vichwa Vikuu vya Toleo 274
Imeandaliwa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu ya Palestina.
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu ya Palestina iliandaa maandamano makubwa katika miji ya Ramallah na Jenin siku ya Jumamosi, 15 Februari, 2020 kupinga mpango wa Trump na suluhisho la kikoloni.
Waungaji mkono chama cha Hizb ut Tahrir walikusanyika katika Afisi yake iliyopo Al-Dukhaniyat katika kuunga mkono kuzikataa sera za IMF na kujisalimisha kwa nchi kwa ahadi za mkoloni.
Imenijia katika fahamu kwamba, jina hili Abdullah Abdullah, ambaye hakutaka kuliweka wazi jina lake la kweli, na ambaye amekuwa akikishambulia chama na uongozi wake,
Vichwa Vikuu vya Toleo 273
Vichwa Vikuu vya Toleo 272
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Syria iliandaa maandamano katika Makutano ya Karameh kwa kichwa, “Hakuna Uwokovu kwa Mapinduzi ya Ash Sham Isipokuwa kwa Kusimamisha Khilafah ya Kiislamu.”