- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Wilayah Sudan: Warsha kuhusu Mdororo wa Kiuchumi nchini Sudan, Vyanzo na Suluhisho
Waungaji mkono chama cha Hizb ut Tahrir walikusanyika katika Afisi yake iliyopo Al-Dukhaniyat katika kuunga mkono kuzikataa sera za IMF na kujisalimisha kwa nchi kwa ahadi za mkoloni. Hizb ut Tahrir ilifanya maandamano dhidi msimamo wa serikali. Warsha hii ya kisiasa ilifanyika mnamo tarehe 14, Februari, 2020 M kwa jina la, “Mdoror wa Kiuchumi nchini Sudan, Vyanzo na Suluhisho” ambapo mada mbalimbali ziliwasilishwa.
Ujumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan
-Video kamili ya Warsha-
[Bofya Picha utizame Video]
View the embedded image gallery online at:
https://hizb-uttahrir.info/sw/index.php/dawah/sudan/460.html#sigProId37d148d804
https://hizb-uttahrir.info/sw/index.php/dawah/sudan/460.html#sigProId37d148d804
Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 16 Mei 2020 07:04