Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mheshimiwa na mbebaji ulinganizi:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mheshimiwa na mbebaji ulinganizi:
Kais Saied, Kamanda Mkuu wa Jeshi nchini Tunisia, hakuwaaga maafisa wetu na majeshi kutoka kitengo chetu cha helikopta za kijeshi,
Kwa kuzingatia hatua za kimataifa na za kikanda za kuishawishi hali ya kisiasa ya Tunisia, haswa baada ya maamuzi ya tarehe 25 Julai 2021, Rais Kais Saied alisisitiza uhuru wake katika Kasri la Carthage mnamo Alhamisi,
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kinamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mbebaji wa da'wah na dada mwema:
Licha ya miaka kumi tangu mapinduzi yalipoanza dhidi ya mfumo ambao ukoloni ulipanda nchini Tunisia, uhalisia haujabadilika na serikali haijaanguka, ingawa baadhi ya nyuso zimeondolewa,
Afisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir / Wilayah Tunisia inaomboleza kwa Ummah wa Kiislamu kwa jumla na kwa watu wa Tunisia haswa, mbebaji ulinganizi msafi, mcha Mungu, mmiliki wa tabia ya hali ya juu na fikra angavu,
Baada ya nia ya kufungua mazungumzo na Muungano wa Ulaya juu ya makubaliano ya "ALECA", Waziri Mkuu Hisham Al-Mishishi mnamo Ijumaa 08 Januari 2021 M, alielezea ujumbe wa IMF,
Kama kawaida, katika kufuatilia harakati za Hizb ut-Tahrir na kuzuia amali zake, tangu asubuhi ya Alhamisi, 17 Disemba 2020 M, vyombo vya usalama mjini Sidi Bouzid zimefuatilia makao makuu ya Hizb na kufuatilia nyendo za mashababu kupitia mawakala waliovaa nguo za raia na wakaifanya kuwa shughuli yao iliyo washughulisha mno ya kuikabili Hizb na kuidhibiti.
Maeneo mingi katika mikoa yote ya kusini mashariki na kusini magharibi mwa Tunisia, hadi mkoa wa Sfax, yanashuhudia uhaba wa chupa za gesi ya nyumbani, ambayo inasababisha madhara makubwa kwa watu,
Lile linaloitwa Baraza Ulaya la Kuzuia na Kupambana na Unyanyasaji dhidi ya Wanawake na Ukatili wa Kinyumbani lilihitimisha makubaliano yanayojulikana kama "Makubaliano ya Istanbul" na kufungua mlango wa kutiwa kwake saini mnamo 11 Mei 2011 jijini Istanbul,