Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Njama za Usekula Dhidi ya Watoto wetu na Wokovu wao uko Mikononi mwetu

Nchi za Magharibi za kikoloni hazikuacha kufuata siasa za kuutusi Umma wa Uislamu ili kuuzuia mwamko wake na uregeshaji wa dola yake na izza yake, zikisisitiza kuufanya ulipie gharama ya mapinduzi yake dhidi yake, hivyo zina shauku kubwa ya kuwafanya watoto wetu kukua chini ya mfumo uliosukwa na fikra za kihamasa, chafu, za kisekula kupitia udhibiti wake mkali juu ya vyombo vya habari na taasisi za elimu kwa jina la usasa unaodaiwa.

Soma zaidi...

Tamko la Mwisho la Kongamano la Kila Mwaka la Khilafah 2023 "Kuporomoka kwa Dola ya Usasa na Hakuna Wokovu Isipokuwa katika Dola ya Khilafah"

Mkutano wa kila mwaka wa Khilafah 2023 ulijadili suala la kwanza nyeti na kuu; Uislamu na Khilafah zilikuwa ndio kitovu ambacho hotuba za wazungumzaji zilizunguka juu yake, kwani ni wajibu ambao Mwenyezi Mungu Amewaamrisha Waislamu wote, na kama hadhara badali pekee yenye uwezo wa kuutoa Ummah, na kwa hakika wanadamu wote, kutoka katika matatizo yao.

Soma zaidi...

Kukamatwa Miongoni mwa Wanachama wa Hizb ut Tahrir Je, Vinywa Visemavyo Ukweli Huzibwa Kwa Manufaa ya Nani?!

Kufuatia usambazaji wa toleo la Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, lenye kichwa: "Kuporomoka kwa Dola ya Usasa, Hakuna Wokovu Isipokuwa katika Dola ya Khilafah", jana, Alhamisi 01/02/2023, Eneo la Usalama katika Nyumba ya Tamim lilimkamata mwanachama wa Hizb ut Tahrir, Ndugu Adil Al-Ansari, baada ya wito kutumwa kwake.

Soma zaidi...

Wito kutoka kwa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia kwa Watu wetu nchini Tunisia

Mumeshuhudia jinsi demokrasia ilivyo fisidi maisha yenu, na kuifanya ardhi yenu kuwa mahali pazuri kwa matamanio ya nguvu zinazodhibiti jamii kwa pesa na ushawishi kwa jina la watu na kinyume na matakwa yao, na mukashuhudia usaliti wa kituo kizima cha kisiasa na shauku yao ya kuzitii serikali za kikoloni za Magharibi hadi zikaiingiza Tunisia chini ya usimamizi wa ukoloni na taasisi zake za kifedha, na juu yazo ni Mfuko wa Fedha wa Kimataifa, chombo hatari cha wakoloni.

Soma zaidi...

Licha ya Ujanja wa Duara za Magharibi na Kejeli ya Uchaguzi wa Wabunge, Mapinduzi ya Umma Yanaendelea ili Kusimamisha Khilafah ya Kiislamu

Maadhimisho ya miaka kumi na mbili ya kuzinduliwa kwa mapinduzi ya Umma yanatuangukia tarehe 17 Disemba hii. Makafiri wa kikoloni wa Magharibi na vibaraka wao walio madarakani wanafanya kazi kwa njia na mbinu zote kuvunja utashi wa watu, kukandamiza ari yao ya kimapinduzi, na kuondoa jaribio lolote la kuleta mabadiliko makubwa kwa msingi wa Uislamu, hasa pale Uislamu na Khilafah ilipokuwa ndio rai jumla katika nchi za Kiislamu, ikiwemo Tunisia.

Soma zaidi...

Kongamano la Nchi Zinazozungumza Kifaransa Lililofanyika nchini Tunisia ni Kongamano la Kufeli na Usaliti

Kongamano la 18 la marais wa nchi na serikali zinazoshirikiana matumizi ya lugha ya Kifaransa, linaloitwa Kongamano la Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone), litafanyika katika kisiwa cha Djerba mnamo Novemba 19 na 20, 2022, baada ya vikwazo vya mara kwa mara tangu ilipotangazwa mnamo 2020 kwamba litafanyika katika nchi yetu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu