Kuondoka kwa Msafara wa Hizb ut Tahrir "Nuru Yenye Baraka iliyochipuza kutoka Masjid al Aqsa"
- Imepeperushwa katika Amiri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu (swt) ndio twaishi katika zama za mwisho. Hii ni zama ambayo imezungukwa na usiku ulio na kiza cha Ukafiri ambacho kila mwenye akili timamu atashtushwa kukishuhudia.