Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Kisimamo kwa Anwani “Sote tuko dhidi ya Kampeni ya Kibaguzi na ya Kidhulma dhidi ya Ndugu zetu Watu wa Ash-Sham!"
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kisimamo katika mji wa Tripoli, Ash-Sham, mbele ya Al-Saray, chenye kichwa:
“Sote tuko dhidi ya Kampeni ya Kibaguzi na ya Kidhulma dhidi ya Ndugu zetu Watu wa Ash-Sham!"