Jumanne, 03 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Kitengo cha Wanawake “Kongamano la Wanawake la Kimataifa: Je, Palestina Tutaikomboa Vipi?”


Huku umbile halifu la Mayahudi (Wazayuni) likiendelea na ulipuaji mabomu wa kinyama na kikatili wa Gaza, wanawake na watoto ndio wanaohimili uzito wa mauaji haya ya halaiki ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 72 hadi kufikia sasa, ambapo mabomu hayo yalilenga majengo ya makaazi, hifadhi za wakimbizi, shule, mahospitali na vitongoji vyote na Gaza kugeuzwa kuwa makaburi ya wanawake, watoto na wazee. Kwa kuongezea, watoto wa Gaza wanakabiliwa na kifo kwa sababu ya njaa, ukame na magonjwa, huku umbile la Kiyahudi likitumia chakula, maji, dawa na mafuta kama silaha; Kupitia uzingiraji wa kikatili kwa wakaazi.

Kukabiliana na mauaji haya ya halaiki na janga katika karne ya ishirini, Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, kwa ushirikiano na Wanawake wa Hizb ut Tahrir kote ulimwenguni, kilizindua "Kampeni ya Kiulimwengu na Siku ya Wanawake ya Kuchukua Hatua kwa ajili ya Palestina" na itahitimishwa kwa kongamano hili la kilimwengu kwa kichwa "Je, Palestina Tutaikomboa Vipi?", kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwaokoa wanawake wa Gaza, watoto wake na wazee wake na kuikomboa Ardhi yote Iliyobarikiwa ( Palestina) kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya uvamizi huu wa kijinai, na kuipa Nusra Hizb ut Tahrir kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume ambayo itawapa majeshi utetezi wa Waislamu dhaifu kote Duniani.

Tunatoa wito kwa Waislamu kuunga mkono kampeni hii ya kilimwengu, na tunawaalika wanawake wa Kiislamu kote ulimwenguni kushiriki katika kongamano hili la kilimwengu, basi kuweni pamoja nasi.

Dkt. Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali ya Kongamano la Kilimwengu -

Video kutoka Kongamano la Kilimwengu la Kuinusuru Palestina

Mahojiano na Sakina Al-Ashhab kutoka Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina

Je, suluhisho la dola mbili litaleta haki kwa Wapalestina?

Ni Upi Mtazamo wa Kiislamu juu ya suluhisho la dola mbili?

Je, kuasisiwa kwa dola moja kwa msingi wa kanuni za kisekula, za kidemokrasia kutaleta maisha bora kwa Wapalestina?

Je, shinikizo kwa serikali za Kimagharibi litasitisha mauaji ya halaiki mjini Gaza na kuikomboa Palestina?

Je, Umoja wa Mataifa na Mfumo wa Kilimwengu wa Kimataifa zina umuhimu gani katika kutatua tatizo la Palestina?

Je, ususiaji wa kiulimwengu dhidi ya umbile la Kizayuni utasaidia kuuangusha utawala wa Kizayuni?

Ni upi mtazamo wa Kiislamu wa Palestina huru na utapatikana vipi?

- Video ya Ualishi wa Kongamano -

Kiingereza

Kituruki

Kijerumani

Kifaransa

Kuhifadhi Nafasi katika Ukumbi wa Kongamano:

https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZ0rceytpzkuH9LAw8goheW-kl-MNVVuLeAN#/registration

kwa Maelezo zaidi Wasiliana na:

Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

- Mapendekezo -

* Nafasi ni chache, kwa ajili hiyo tafadhali jiandikishe mapema ili kupata nafasi yako katika hafla hii muhimu

* Ushiriki ni kwa wanawake pekee

* Hotuba za kongamano hili zitakuwa kwa Kiingereza

(Kuingia kwenye ukumbi wa kongamano ni kuanzia 12:15 PM GMT / 3:15 PM kwa saa za Madina)

Ili Kusoma Taarifa ya Kitengo cha Wanawake

Ambayo ilitangaza kuhusu kongamano hili la kilimwengu kwa kichwa:

“Je, Palestina Tutaikomboa Vipi?”

Kongamano la kilimwengu la mtandaoni juu ya Palestina lilioandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa ushirikiano na Wanawake wa Hizb ut Tahrir ulimwenguni

Ijumaa, 09 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 22 Disemba 2023 M

Bonyeza Hapa

- Alama Ishara za Kampeni -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

- Ili Kufuatilia Kongamano kwa Lugha Nyenginezo -

English

Türkçe

Français

Deutsch

Urdu

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu