Ukombozi wa Wanawake Afrika: Uhuni wa Kikoloni kuhujumu Utulivu wa Jamii
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo Jumanne 16 Oktoba 2018, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed alitaja baraza la mawaziri 20 huku wanawake wakichukua nusu ya vyeo sawa na wenzao wanaume.