Mgogoro wa Msitu wa Mau: Usimamizi Mbaya wa Rasilimali za Kiasili wa Serikali za Kisekula za Kirasilimali
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Serikali imeanzisha oparesheni ya kuwafurusha zaidi ya watu 40,000 kutoka katika msitu wa Mau ambao ni beseni kubwa la maji nchini Kenya ulio na ukubwa wa hektea 273,300 (ekari 675,000).