Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 344
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 344
Vichwa Vikuu vya Toleo 344
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan chini ya uongozi wa Msemaji Rasmi Ibrahim Othman Abu Khalil, akiandamana na Ustadh Nasser Ridha Muhammad Othman
Mnamo Alkhamisi, ‘Israel’ na Palestina zilihakikisha kuwa zimekubaliana kwa kauli moja juu ya usitishaji wa mapigano, ambapo Raisi wa Amerika Joe Biden aliukaribisha kwa kuwa ni “fursa ya kweli ya kupiga hatua” kuelekea amani ya kudumu katika Mashariki ya Kati.
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 1 Safar 1433 H - Januari 2012 M