Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 345
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 345
Vichwa Vikuu vya Toleo 345
Uingereza inatumia mamilioni ya pauni katika mradi wa kuisaidia Ukingo wa Magharibi uliokaliwa kimabavu na ‘Israeli’ ili kuimarisha “uwezo zaidi” wa vikosi vya usalama vya Palestina ambavyo vinaweza kuzuia uwezekano wowote wa kutokea machufuko au ghasia kwa Israel”.
Ninaandika kutoka mji mkuu wa India, Delhi ilhali nikiendelea kupata nafuu ya ugonjwa wa Uviko-19. Ni ngumu kuelezea kile tunachokishuhudia ndani ya India. Ugonjwa umeenea hewani na vifo vimetapaka kila mahali.
Mwendelezo wa amali za umma zinazofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi ili kujenga rai jumla kuhusu vipengee vya Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na hali mbaya na hali ngumu ya maisha ambayo watu wanateseka kwayo kutokana na kufuata sera za wakoloni makafiri na kutiishwa kwa masuluhisho ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa.