Vichwa vya Habari 26/01/2021
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Katika mkutano mmoja na waandishi wa habari mnamo tarehe 19 Januari 2022, Rais wa Marekani Joe Biden alitabiri Urusi "itaingia" Ukraine na kuashiria "uvamizi mdogo" wa Moscow unaweza kusababisha nchi za Magharibi "kupigana kuhusu nini cha kufanya na kutofanya."