Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 375
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 375
Vichwa Vikuu vya Toleo 375
Miezi minane baada ya kesi kusikilizwa kwa mara ya mwisho, usikilizaji katika kikao cha Tume ya Uchunguzi juu ya Kupotezwa kwa Nguvu ulifanyika jana, 26 Mei 2015, kuhusu kutekwa nyara kwa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir nchini Pakistan, Naveed Butt, ambaye alitekwa nyara na majambazi wa taasisi mnamo tarehe 11 Mei 2012.
Kama sehemu ya mfululizo unaoangazia watu wa Hizb ut Tahrir wanaoteswa na serikali, tunawasilisha kesi ya Naveed Butt.
Uchaguzi wa mabaraza ya manispaa unafanyika mwezi huu, kampeni za uchaguzi ziko katika makali zaidi.