Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Khalifah ni Ngao ya Ummah wa Kiislamu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Ripoti ya kuogofya ya vifo vya watoto zaidi ya 36 katika wilaya ya Tharparkar, vilivyosababishwa na maradhi mbalimbali katika mwezi wa kwanza wa 2022, imesababisha kizungumkuti kwa serikali ya mkoa. (Tribune Pakistan)
Wanadiplomasia wa Taliban na wa nchi za Magharibi wanafanya mkutano nje ya mji mkuu wa Norway Oslo kwa ajili ya mazungumzo yanayoangazia mgogoro wa kibinadamu wa Afghanistan, ambao umeongezeka kwa kasi tangu Agosti mwaka jana wakati Taliban iliporegea mamlakani miaka 20 baada ya kupinduliwa katika uvamizi ulioongozwa na Marekani.
Hatua za pamoja za chama ndiyo njia pekee ya kuleta mabadiliko yoyote katika jamii. Mfano wetu na kiigizo chetu, Muhammad (saw) alianzisha jambo hili.