Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 376
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 376
Vichwa Vikuu vya Toleo 376
4Kufuatia kuanguka kwa Khilafah, maisha ya wanawake wa Kiislamu kote duniani yalijawa na aina zote za unyanyasaji na dhulma, mateso na ufukara chini ya mifumo na tawala zilizotungwa na mwanadamu
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Februari 2022 M.
Kwa muda wa miaka kumi, hakuna anayejua Idara ya Usalama ya Pakistan (ISI) imemuweka wapi Ndugu Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir Wilaya ya Pakistan, au wapi ameshikiliwa.