Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 378
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 378
Vichwa Vikuu vya Toleo 378
Katika mwezi Mtukufu wa Rajab mwaka huu 1443 H / 2022 M na kwa mnasaba wa kumbukumbu mbaya ya wahalifu kuivunja Dola ya Kiislamu na kuuondoa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) tarehe 28 Rajab 1342 H sawia na na Tarehe 3 Machi mwaka wa 1924 M.
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): "Khilafah Ndio Mwokozi Pekee wa Wanadamu."
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Izmir.