Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 385
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 385
Vichwa Vikuu vya Toleo 385
Mamlaka za Ukraine zilitoa picha na video zinazoonyesha maiti zikiwa zimelala kwenye barabara za mji wa Bucha karibu na Kyiv baada ya vikosi vya Urusi kuondoka eneo hilo.
Mauaji kwa Mauaji, na leo mauaji ya kutisha huko Maarat al-Nasan.
Maafisa nchini Bangladesh wanatishia kuwanyang'anya wakimbizi wa Rohingya hati zao za utambulisho na kuwahamisha kwa nguvu hadi katika kisiwa cha mbali ambacho hukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara, endapo watakiuka marufuku jumla kwa shule walizozianzisha, kulingana na shirika la Human Rights Watch.