Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 392
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 392
Vichwa Vikuu vya Toleo 392
Kupanda kwa bei karibuni ya nishati ya mafuta nchini Tanzania kumeleta ziada ya hali ngumu na mbaya ya kiuchumi ikisukuma mfumko wa bei kwa kiwango cha 3.8 (ndani ya Aprili 2022) katika kila bidhaa ikiwemo kupanda kwa nauli za dala dala na katika majiji,
Mnamo siku ya Ijumaa, 11 Mei 2012, Naveed Butt alitekwa nyara na maafisa wa kijasusi wa dola ya Pakistan, alipokuwa akiwachukua watoto wake wadogo shuleni.
Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Afisi Kuu ya Habari, kupitia ukurasa huu, itachapisha mabango kumi ya kuuamsha Umma wa Kiislamu na watu wenye nguvu na ulinzi ndani yake ili wafanye kazi pamoja nayo kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.